Tangaza na Abd Da Hustler

ANGALIA MSANII WA HIP HOP KALA JEREMIAH ALICHO POST FACE BOOK NA COMMENT ALIZO ZIPATA KWA MASHABIKI WAKE,


TANGAZO KWA UMMA

MIMI KALA JEREMIAH NILIKUWA MSANII WA KWANZA TANZANIA KUMSEMA MHESHIMIWA EDWARD LOWASA KUPITIA WIMBO WANGU UITWAO WIMBO WA TAIFA BAADA YA MHESHIMIWA KUKUMBWA NA KASHFA YA UFISADI WA RICHMOND.KWA KIPINDI KILE KILA MMOJA WETU ALIHAMAKI SANA NA KUONA KWELI MZEE WA WATU NI FISADI.KWENYE WIMBO HUO KUNA MISTARI NILISEMA. mi siyo mwana siasa sisubiri tume ichunguze nistaafu ka Lowasa.


KWA KUWA MIMI NI MZURI SANA KWENYE KUFANYA UCHUNGUZI BINAFSI NILITUMIA MUDA MWINGI SANA KULICHUNGUZA SWALA HILI LA KASHFA HII NA BAADAE NILIGUNDUA KUWA NI SWALA LA KISIASA.NA YALIKUWA NI MAPITO AMBAYO MWANADAMU YOYOTE HUPEWA MUDA WA KUPITIA MAGUMU ILI KUPIMWA IMANI YAKE KWA MUNGU.

BAADA YA KUGUNDUA HAYO MWAKA JANA NILITENGENEZA WIMBO UNAOITWA AZIMIO LA ARUSHA AMBAO UPO KWENYE ALBUM YANGU YA PASAKA AMBAYO IKO SOKONI TOKEA MWAKA JANA. KATIKA WIMBO HUO WA AZIMIO LA ARUSHA NILIANDIKA MISTARI IFUATAYO. walipiga dili waka msakizia lowasa ili kuficha siri kali.NILIANDIKA MSTARI HUU BAADA YA KUFANYA UCHUNGUZI NA KUJIRIDHISHA KUWA MHESHIMIWA NI KIONGOZI BORA SANA NA HASA KWA UAMUZI WAKE WA KUJIUZULU BILA SHINIKIZO KUBWA NA WAKATI KWA NAFASI ALIYOKUWA NAYO YA UWAZIRI MKUU ALIKUWA NA UWEZO WA KUGOMA KUJIUZULU NA HASA KWA KUWA HAKUWA FISADI KAMA ILIVYOSEMWA.

MWEZI WA TATU MWISHONI MWAKA HUU NILITOA WIMBO UNAOKWENDA KWA JINA LA KARIBU DAR AMBAKO NILISEMA dar es salam ingekuwa nchi Rais angekuwa Lowasa huku watu washashtukia kuna mchezo kwenye siasa HAPA NILIKUWA NAMAANISHA KUWA WATU WENGI WANAOISHI DAR WANAWAHI KUJUA MAMBO YA WANASIASA KWA KUWA WANASIASA WANAISHI HUKU LAKINI PIA WATAFITI WENGI WA MAMBO YA KISIASA WANAISHI HUKU KWA HIYO NI RAHISI ZAIDI KUUJUA UKWELI MAPEMA.

NAAMINI KUONDOKA KWA LOWASA KWENYE UWAZIRI MKUU KUMEZOROTESHA MAENDELEO YA TAIFA KWA KIASI FLANI

NDUGU ZANGU WATANZANIA NI WAZI KUWA LOWASA NI JEMBE TENA JEMBE LA KAZI KUMBUKENI BILA LOWASA KUSINGEKUWA NA SHULE ZA KATA TANZANIA,NA ANGEENDELEA KUWEPO MADARAKANI ALIKUWA NA MPANGO WA KUANZA MCHAKATO WA ZAHANATI ZA KATA.IKUMBUKWE PIA LOWASA NDIYE ALIYESIMAMIA UJENZI WA CHUO CHA UDOM TENA KWA PESA ZA KITANZANIA BILA KUOMBAOMBA VIMIKOPO.

MRADI WA MAJI KUTOKA MWANZA KWENDA SHINYANGA NI KAZI YA LOWASA. ZIPO KAZI NYINGI AMBAZO NIKIZITAJA ZOTE NAWEZA KUJAZA UKURASA.NACHOJARIBU KUSEMA HAPA NI KWA KUWA MIMI NI MSANII NA NI KIOO CHA JAMII NINGEOMBA WEWE MWANAJAMII CHUKUA HATUA YA KUFANYA UCHUNGUZI BINAFSI KUHUSU LOWASA.BILA KUFUATA MKUMBO WA KISIASA NAAMINI UTAKUBALIANA NA MIMI KUWA LOWASA NI JEMBE.

MIMI HUWA NAPENDA KUSOMA VITABU VYA WANAHARAKATI NA KUNA KITABU KIMOJA NILIKIPITIA CHA MWANAHARAKATI KUTOKA ITALY AITWAE NICCOLO MACHIAVELLI AMBAYE ALIZALIWA MWAKA 1469 NA KUFARIKI 1527. KATIKA ENZI ZA UHAI WAKE ALIWAHI KUANDIKA VITABU KADHAA LAKINI KATI YA VITABU HIVYO KITABU KIITWACHO THE PRINCE NDICHO KILIMPA HESHIMA KUBWA SANA KWA KUWA ALIIKOSOA SERIKALI YA KIFALME YA KIPINDI HICHO KITU AMBACHO HAKIKUWA RAHISI KWA MTU KUFANYA HASA IKIKUMBUKWA KUWA ENZI ZA UFALME ZILIKUWA ENZI ZA UBABE. KATIKA MANENO KUTOKA KWENYE KITABU HICHO AMBAYO NINGE PENDA KUKUSHIRIKISHA WEWE NDUGU YANGU MTANZANIA NI MANENO YAFUATAYO MACHIAVELLI ALIANDIKA HIVI. kuna kipindi ambacho mataifa yanapita katika vipindi vigumu. na kwa kipindi hicho kigumu mataifa hayo yatahitaji sana kupata kiongozi mwenye kuweza kuchukua maamuzi magumu,na ambaye hatakuwa chini ya sauti ya mtu mwingine, na ambaye ataweza kuyatekeleza maamuzi magumu kwa haraka hata kama ni kwa kuwaumiza wachache ili wengi wawe huru.atakayekuwa tayari kutekeleza jambo baya ili likapita na kusahaulika na atakayetekeleza mambo mazuri kwa muda mrefu na yakaendlea kukumbukwa.kiongozi huyo atatakiwa kuchagua kuogopwa ama kupendwa lakini ni bora akachagua kuogopwa lakini akitenda haki kwa wananchi husika.HAYO NI BAADHI YA MANENO ALIYOANDIKA MACHIAVELLI KWENYE THE PRINCE KITABU AMBACHO KILIMPELEKEA KUITWA NA MFALME NA KUPEWA NAFASI YA JUU YA UONGOZI KATIKA SERIKALI HIYO YA KIFALME.

KWA MAONI YANGU NADHANI TAIFA LETU LIMEPITIA VIPINDI VIGUMU KADHAA NA KWA MANENO YA BWANA MACHIAVELLI NADHANI KIONGOZI ANAYEFAA AMBAYE ANAWEZA AKACHUKUA MAAMUZI MAGUMU NA AMBAYE HAWEZI KUWA CHINI YA SAUTI YA MTU MWINGINE NI MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASA.

tafakari chukua hatua
  • Jackson Mwakalukwa utafiti unaonesha kuwa wamasai wanajua kuongoza maana toka umorani.
    Like · Reply · 1 · 5 hours ago
    • Christina Mwiyanja unajua watu hawajamuelew kala,,yy ameandika klcho moyon na hawez kufcha coz kla mtu an uhuru wa kuongea na kutoa maoni so hayo ni maon na mawazo yake
      Like · 2 · 2 hours ago

  • Hassan Lundenga xaxa b6b unataka 2fate km unavyotaka wew co? Acha plom6 za casa fanya yako

  • Kala jeremiah kuna watu wanasema nimenunuliwa sijui nimepewa pesa mimi kama mkristo niliyebatizwa kwa maji mengi NAAPA SIJAWAHI KUMJUA LOWASA KUONANA NAE WALA KUWASILIANA NAE ZAIDI YA KUMUONA KWENYE TV. ILA NIMEJISIKIA KUONGEA HAYA KWA SABABU WATU WENGI TUNAFUATA YA...See More
  • Kala jeremiah WANAOSEMA NIMEHONGWA MWAKA JANA WAKATI NAENDA STUDIO KURECORD WIMBO WA AZIMIO LA ARUSHA AMBAO NDO ULIKUWA WIMBO WANGU WA KWANZA KUMTETEA LOWAASA NILIENDAA STUDIO KWA DALADALA. MWAKA HUU MWAANZONI WAKATI NAENDAA STUDIO KURECORD KARIBU DAR NILIENDAAA STU...See More
  • Mukama Kaiza HLO NDO TATIZO LE2 SISI WABONGO,tupo zaidi kuangalia vyama. Usiangalie Ccm,Cdm wala Cuf bali angalia uimara wa m2. Ijapokuwa weng wanakuponda ndugu yangu Kalla kwa mazuri ya Lowassa uliyoyaelezea,ila ukweli utabaki pale pale kuwa Mzee Lowassa ni m2 anayehtajika kwa Taifa hli ili aweze kulikomboa. Uimara wake,Uthubutu wake na Maamuzi yake yanaweza kulisogeza mbele Taifa le2.
    SIIPENDI CCM nampenda LoWASSA
  • Teddy Krekamoo Kala fanya mziki achana na mambo ya siasa,utazimika ka mshumaa...hizo tuzo 3 zisikupe kiburi,kama unataka siasa acha mziki panda jukwaani anza kumsafisha Lowassa tujue unafanya siasa...
  • Richards Limihagati Kalla acha siasa,fanya mziki.....utapotea kwa hongo za lowassa
  • Jombii Mozeiya hela anazotoa makansan na miskitin naona zinafanya kaz kwa kas kubwa coz sa iv mmekuwa wewe na ney wamitego kwel pesa ni mwanaharam huficha hata makosa hata kama ni mauaj duh

  • John Mwakilama Unasema umefanya uchunguzi na ukagundua ule ulikua mchezo wa kisiasa una uhakika gani? na wewe umeanza kuleta majibu ya kisiasa..fanya kazi yako ya sanaa lakin sio kuwa msemaji wa watu..tukiomba uanze kupangua yote aliyotuhumiwa unaweza pangua kutokana na uchunguz wako?
  • Gerald Kayanda Umelipwa kumfanyia kampen au? Mbona ckusomi

  • Abdallah Awadh Bassumbul Kampeni mbona mapema?

  • Dutta Sagwa kama ni jembe kalimie. Umelipwa ngapi!?
  • Kala jeremiah jamani narudia tena kusema kuwa MUNGU ANANIONA KAMA NIMEPEWA HONGO NILAANIWE MIMI NA KIZAZI CHANGU ILA KAMA SIJAHONGWA MUNGU AWASEMEHE BURE MNAONIHUKUMU. MUNGU YU PAMOJA NAMIMI NA muda ukifika mtajua tu
  • Dickson Richter UKIONA KALA ATAPOTEA FANYA YAKO WW TUONA UTAKAEENDELEA WATU WASISEME UKWELI BHANA katika siasa kila mtu anamponda mwenzake kwa wasiojua watasema LOWASA FISADI NI WATU WANAOKUBALI KUSHINIKIZWA BILA WAO KUJITAMBUA WAKIZANI WANAPOELEKEA NI BORA KUMBE WANAPOTEA NDIO MANA KWENYE VURUGU MNASHINIKIZWA KISHA MNAKUFA WENYEWE WANABAKI KUCHUKUA MISHAHARA MINONO
  • Thabiti Seleman Cd zako nimezitupa maana cwezi kukaa na vitu vya kijinga ndani mwangu kumbe jembe La ukweli Roma sio wewe kuanzia leo Kala janga la kitaifa tukimuona tumkimbie
  • Hoja Lugalila Mwenye kumpamba Lowasa ni Tume ya Harison Mwakyembe, sio wewe kala uliyeshindwa kuendelea na History ya O-level ukaamua kusoma Nicolo Machivelle.
    Ama kweli umasikini ni Mzigo, ukikuzidi unaweza kuushusha hata kwa Wazazi wako!
  • Omary Roca Nakuonaga hiphop kumbe kuma tuu...mwanaharakati Nash mc peke yake...njaa za kisenge wakati mtu kapokea mamilioni ya richmond na mikataba ya kipumbavu kibao tuu kasaini enzi za uwaziri wake...ndio maana Ruge anawakamua dailly
  • Tsummayi Nannuda Makanyanga Kuanzia leo mi si funs wako tena, we pimbi tu.ndo maana wanamziki mnashushwa kwa mawe majukwaani.unatetea mtu kaleta umaskini wa kutupwa kwa watanzania mpaka leo hii hata mtoto wako akizaliwa tu fahamu anadaiwa.fuc***
  • King Murray Yutong nAT0A MFAN0 KWA HIK0 ULICH0KISEMA...MIMI NILIMWAMINI SANA MWANAMKE NILIKUA NAMW0NA NI JEMBE KAMA UNAVY0MW0NA L0WASA ILA MWISH0 WA SIKU NILIMCHUKIA NA BAD0 NAWACHUKIA WANAWAKE C0Z ALIKUJA KUNIFANYIA KI2 AMBACH0 SIKUTEGEMEA...nILIMSIFIA SANA KAMA UNAVY0F...See More
  • Theresia Sebastiane mhuu notice wanafunzi somen
  • Justin Bijber Ni kampeni ambazo umeagzwa na hyo mzee acha tamaa za pesa mwizi ni mwez 2 anaweza kusafishka hata kwa njia unayo2mia wew so kama hela za hyo mzee we tafuna ila kampen bdo jipange tena we sio mwanaharakat mwanaharkat ni hageuzw na manen ya wa2 ila msimamo pekee ndo mpango mzma take care mshkaji wangu!
  • Musa N. Msinjili You better leave politics and let politicians be helped by Dear God/ Politics won't bring you awards but rather Hatred/ I admire your music, so, I am not ready to see you on stage being stoned/ #TAKE_CARE,_KALA.
  • Tea Cake Kaka maelezo marefuuuuu,khaaaaa,ila nimekusoma Mzee,next time jaribu kufupisha Mzee!
  • William Jonas Na wewe umekuwa wa hvyo tenah?yaani unaacha kazi yako unaanza kampeni kwa lowasa?acha mambo ya ajabu wewe utapotea kama menzako.
  • Raymond Alfred Patrick ndio unampigia kampeni za 2015
  • Issah Sha Umesha pewa chako unatuletea unafiki. Unatuletea h2ri za marehemu alikuwa mtu mwema? Kipindi chake kimepita awaachie wengine. Au mchukue akusaidie kucheza show.
  • Mwasiwelwa Perfect Loading...........!!!!!!
  • Anna Meela kwanini uliandika kitu ambacho huna uhakika nacho na ilihali unajijua wewe ni kioo cha jamiiii!!!!!!
  • Kristonsia Nkya Acha uduwanxi ww tena kuanzia leo mi cfanc wako tena.
  • Johnson Johanes Rwegasila unajua nn kk sm tym b4 kufanya k2 fklia outcomes zke hvyo na hk ulichokifanya leo nahc wa2 weng hawatakuelewa
  • Pius Mwitumba kala acha ufala umepewa pesa na fisadi umsafishe tangu nimekufahamu siwahi kusikia ukiongea pumba nyie wasanii mnatuponza kuishi maisha magumu mkipewa pesa mnasifia hata mafisadi sis tunajua nani fisadi na usituchagulie hilo chaguo lako acha uo mchezo au ndio alitengeneza mzee mazingira upate tuzo kama chakuandia hamna kaa kimya nakukubali leo umeniboa sana njaa kitu kibaya sana
  • Pammy De FynEst kWa maNENo ya MwaNaharakati huyU
    nmeJaribu kuLINK na maeLeZo mafupi juu Ya historia fupi ya Mh. Lowasa

    kuna kiTu nimEfuNguLiWa maCho!
  • Issah Sha @ kala. Unatuletea utoto! Unawezaje kumchunguza mtu usie mfahamu ? We unasema haujawahi kuonana nae ana kwa ana huo uchunguzi ulikuwa unafanya kupitia Tv? Brc umechukua mlungula.
  • Saad Shaib Promo....promoo....hapa ndo utajua tu uchaguzi umekaribia.....sasa nimeamini kuwa lowassa ndiye rais ajaye wa tz......
    PROMOOOO
  • Edger Sanga Huelewek ujue,mara umemchunguza mara humjui,mwanaharakati anaandka v2 hana uhakika navyo?,wew kumbe mchele2 tu,ulipata credit o'level?
  • Yohana Mbatizaji Nani kakuhambia tanzania kuna wanamziki tzd kuna ujinga ujinga ss m2 kama ww 2likuwa 2nakuamini kikowapi?
  • Samson Jr Mbasya 'nimefanya uchunguz wa kutosha,nimegundua ni mchezo wa kisiasa' hayo ni maneno ya msanii wetu aitwaye kalla aka kashiba.jaman kmbe kalla kashiba anamjua mwiz kuliko yule alietajwa na tume ya mwakyembe,km ndo ivo bwn kalla cc km fans wako 2wekee wazi muhusika wa wiz wa RICHMOND kwa utafit wako uliofanya.
  • Tino Assenga Mi nlikua nawaambia watu "Kala hana akili ya muziki, watu wakawa wanabisha". Haya sasa...baada ya kuishiwa mashairi kaanza vitubio...dear God then leo hii dear Lowasa....keshokutwa dear........
    Like · Reply · 4 · 4 hours ago via mobile
  • James Dea Elias Hii ndo mipango ya ajabu inayofanyika Tanzania kuelekea 2015! Ilianza na wakuu wa wilaya & makada wa muhimu ndani ya chama tawala! Na tumeona mgawanyiko wake kwenye chama. Naona mpango wa kutumia pesa imekuangukia na wewe Kala! Ushalamba zako! Ogopa mt...See More
  • Samwel Mtweve Batiki kufuliwa kwa Dawa ya madoa Inahitaji mfuaji akaze mkono.KALLA utakua umenisoma
  • Joachimu Shayo Lowassa ni mwizi so acha kukurupuka@kala.
  • Lily Tesha Kha ivi unatumia akil kufikiria au matope, bas kawe houseboy wa nape nauye, tuondolee upumbav hap
  • Zubery Ulaya aisee kama kampeni mbona mapema sana? Amekutoa kabisa au unafanya kazi bila advance? We mpgie promo ila hapati kitu hapa peoplsssssssss ndio habar ya mjin
  • Pendo Martini unajua nini braza nakuheshimu sana ila kwa mm pia lowasa hafai kama alisingiziwa akajiuzulu ataweza Wapi mikiki ya uraisi c atajiuzulu nchi ikose raisi.personally cjaona raisi bado labda tumpe mkapa tena
  • Julius Sway Usijali kabisaaa, kama nkupewa fungu la kampeni utapewa ila utambue once u make someone who is not patriot to his/her society to be accepted its just to create a carse to yourself whch u will not gain success in life as u expect for. And thats what God do to his people.
  • Kinje Charles Kaka kama umekula vya lowasa mrudishie mapema maana ckuelewi
  • Onany Kinyamagoha Kwanza nani aliekwambia kuwa we mxanii bora hivyo vituzo vimekudanganya vituzo ambavyo waandaji wanapanga nani wampe kuna waxanii waukweli hawajawahi kupata hata mara1.
  • Onany Kinyamagoha Kala we ni ms***nge ongelea 2 kwenye mitandao ila olewako utie timu tunduma kamuulize mwenzio marow alichokipata acha kabixa kucheza na akili za watz.

  • 50 of 1,173


Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment