Tangaza na Abd Da Hustler

Hatimaye page ya msanii KALA JEREMIAH yatimiza LIKE 44,444 na kumpa mtu wa kwanza ali LIKE page hii za wadi ya laki 1 na album yake muangali mshindi, na like na comment za mashabiki wake.


Like This Page · 2 hours ago
 

wIKI CHACHE ZILIZOPITA NILIAHIDI KUWA MTU ATAKAYEKUWA WA KWANZA KUPIGA PICHA NA KUNI INBOX KWENYE PAGE YANGU PINDI PAGE HII ITAKAPOFIKISHA LIKE 44,444. MTU HUYO ATAJISHINDIA LAKI MOJA PAMOJA NA CD MOJA YA ALBUM YANGU.NASHUKURU MUNGU USIKU WA KUAMKIA LEO PAGE HII IMETIMIZA IDADI HIYO YA WATU. WATU WENGI SANA WAMENI INBOX PICHA HIYO ILA AMBAYE AMEKUWA WA KWANZA AMENI INBOX PICHA HII MASAA MA NANE YALIYOPITA NA NDIYE MSHINDI WETU ANAITWA @Dismas Hiza DISMAS POPOTE ULIPO TUNAOMBA UANDIKE CHOCHOTE KWENYE POST HII HALAFU UNI INBOX NAMBA YAKO YA SIMU ILI UKABIDHIWE HAKI YAKO ASANTE SANA. ASANTENI WOOOTE MLIOSHIRIKI NA MUNGU AWABARIKI SANA.
Like · · Share
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment