Tangaza na Abd Da Hustler

MWANAMKE HAMFANYIA UNYAMA MUMEWAKE


Mwanamke ambaye asiyetambulika amfanyia Mume wake kitu cha ajabu baada ya kusema anataka kumuucha. Akaamua kuwa na nania ya kumualibia uume wake na mpaka sasa huyo mwanaume yupo hospitali ka lazwa anatumia mipila kutoa haja ndogo na Mwanamke huyo hatambuliki amekwenda wapi..inasemekana amwagia TINDI KALI 
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment