Tangaza na Abd Da Hustler

ONGEZEKO LA MASHOGA WA KIUME BONGO! TATIZO NI NINI?

Nimetembea baa nyingi kinondoni na sinza siku za karibuni, nimeshangazwa na ongezeko kubwa sana la mashoga tena siku hizi hawajifichi kama zamani!! Juzi nilikuwa baa moja pale kinondoni opposite na mango garden nikawakuta wengi sana wanagonga kilaji na kujichekesha kama madem. Ikabidi nimuulize bar maid akaniambia wanafanya sherehe ya rafk yao!!
Hivi tatizo ni nini? Maana ni hatari sana kwa jamii yetu na naona jamii inaanza kuwakubali taratibu.. BY http://www.udakuspecially.com/
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment