Tangaza na Abd Da Hustler

GOOD NEWS: kWA WAKAZI WA KURASINI MWIZI MAARAFU MKABAJI KIBWANA AFARIKI DUNIA BAADA YAKUPIGWA NA WANANCHI

MBWANA a.k.a. KIBWANA afariki dunia alfajiri ya kuamkia tarehe 5 nimtaalamu wakuiba kukaba na kuua ebwanaee mtaani wtu wana fanya sherehe kufa kwa huyu jamaa hatari nimtu wapili aliye waogopesha wananchi wengi baada ya marehemu Jongo kuwa mbabe walimfanyia kamahivi sasa leo wapo kwenye moto wa jahanamu KWAHERI KIBWANA

hapo chini nimeweka baadhi ya picha zake.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment