Tangaza na Abd Da Hustler

Lady Jay Dee Na Diamond Platinumz Ndani Ya Coke Studio …

jay
Kampuni kubwa ya vinywaji ulimwenguni Coca Cola, wanaendeleza project yao ya muziki ambayo hufanyika katika nchi mbalimbali mabarani kote kwa kuwakusanya wasanii wa miondoko mbalimbali na kisha kufanya nao kazi, Baada ya kufunya kazi na wasanii kutoka nchi mbalimbali kama Brazil,Pakistan na India, sasa ni zamu ya wasanii wa nchi za Afrika kutoka nchi mbalimbali kufanya kazi na kampuni hio ya Coca Cola.
Wasanii ambao wapo kwenye Project hio ni Salif Keita,King Sunny Ade,Diamond Platinumz, Lady Jaydee, Joel, MI, Waje, Jimmy Jatt, Bez, Octopizzo, Tumi, Boddhi Satva,  Sebunjo, Qwela, Miss Karun, Just a Band, Hip Hop Pantsula, Lillian Mbabazi na Culture Music Club … Pia Project hio katika Nchi ya Nigeria na Uganda  Imeshafunguliwa tayari, na huku nchi nyingine zikusubiria kwa hamu ufunguzi wa project hio ya burudani ya muziki …
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment