Breaking News!!!! Manchester United inatarajia hii habari njema kwa BARCALONA ndani ya saa 48. Unknown MICHEZO Taarifa iliyonukuliwa toka kwenye gazeti la The Daily Mail la England inasema club ya Manchester United inatarajia kupata habari njema ya usajili wa kiungo wa Barcelona Francesc Fabregas ndani ya saa 48 zijazo. kujiunga na Man United.....Soma zaidi Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Unknown Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler Kumbuka Kusoma na Hizi
0 MAONI :
Post a Comment