Tangaza na Abd Da Hustler

DUDE AIGIZA KAMA YAHAYA KWENYE VIDEO MPYA YA LADY JAY DEE

Kulwa Kikumba a.k.a Dude ambaye ni mwigizaji wa bongo movie kapitishwa na Lady Jay Dee ku act kama yahaya kwenye video ya wimbo wa yahaya.Ogopa video ndio watengenezaji wa video ya yahaya ambayo utengenezaji wake utamalizika siku si chache
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment