Tangaza na Abd Da Hustler

Sikiliza hapa wimbo mpya wa Jini Kabula


Miriam-Jolwa-cut1
Scorpion girls ni kundi la muziki ambalo lilikuwa na wasanii wa bongomovie kama Jini Kabula,Isabellah na Jacky wa Chuzi. Lakini hivi sasa hakuna ngoma iliyotoka wakiwa pamoja tena. Upande mwingine ikiwa ni siku chache baada ya Mzee Magari kutoa wimbo wake wa Dar raha, leo hii Jini Kabula katoa ngoma yake na yeye inaitwa Mapenzi ya nini?. Kuwa wa kwanza kusikiliza hiyo ngoma hapa hiyo ngoma


Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment