
Msanii wa Hip Hop apa Nchini ambaye pia ni mdogo wa Pro Jay anaejulikana kwa jina la BLACK RHINO Mungu amemjalia mkewake amejifungua mtoto wa kike dk 45 iliyo pita katika Hospital ya Muhimbili Dar es salaam. Rhino amesema mkewake amejifungua kwanjia ya kawaida na wote wako salama kabisa...stay tune kwa picha za mtoto zinakuja mda simrefu....
by Dj Choka
0 MAONI :
Post a Comment