Wasanii wakubwa kutoka East Africa na Africa, Diamond Platnumz,
MwanaFA na Jose Chameleone waendelea ku-support wahanga wa shambulizi la
wanajeshi wa Al-Shabaab kupitia kampeni ya WE ARE ONE
#BadilishaProfile kwa kubadili profile pictures zao katika mtandao wa
kijamii wa twitter MwanaFA, Jose Chameleone, Huddah, Lameck Ditto na
wengineo … Wakati huo huo, watu wameanza kuitwa kufuata magari yao
katika PARKING walipokuwa wameyaacha kutokana na mashambulizi …
Tukio hilo la WESTGATE jijini Nairobi, linasemekana kupoteza zaidi ya raia 63 nchini humo … See the artists accounts …
Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
0 MAONI :
Post a Comment