Tangaza na Abd Da Hustler

Miss KISWAHILI 2009 Rehema Fabian akamatwa na unga Shangai nchni CHINA.


Kuna habari zimezagaa kuwa wa bongo waishiao China inasemakana aliekuwa Miss KISWAHILI 2009 wengi wanamjua kwa jina la Rehema Fabian amekamtwa na ungo Nchini humo.

Marafiki wa karibu Rehema ambao waliombwa wasitajwe .wamesema kuwa Rehema aliondoka kuelekea Shanghai wiki moja iliyo pita halafu juzi ndio wakapokea habari kuwa rafiki yao kakamatwa na kosa jingine na alivyo kaa kwa sababu VISA yake ilikuwa imekwisha kitambo.
Kama kuna ndugu yeyote au rafiki aliyeona habari hii mnaombwa mfikishe habarii kwa Mama yake mzazi ajue.......

chanzi(Dj Choka)
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment