Mwana dada Ray C amefanikiwa kupona na kushinda tatizo la utumiaji
wa dawa za kulevya na amesmshukuru sana Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa
kumhamasisha na kumsaidia msanii huyo na pia amewashukuru watu wakaribu
waliokua wakimsaidia pia.
Ray C amebatizwa rasmi na kuonyeshwa njia mpya katika maisha, na pia
mwana dada huyo amerudi rasmi katika kazi yake ya usanii na yupo katika
maandalizi ya kuachia Album yake mpya, ambayo ameshaikamilisha katika
shughuli za kurekodi.
0 MAONI :
Post a Comment