
Leoilikuwa kama gumzo katika ACCOUNT za INSTARGRAM baada ya kuonekana picha hizi DIAMOND akiwa na WEMA SEPETU pande za CHINA. Mengi yalisemwa hadi wengine kumtukana PENNY ambaye ndio mchumba wa DIAMOND lakini ukweli ni kwamba hii ni MOVIE mpya kabisa aliyochezwa na DIAMOND akiwa na WEMA SEPETU na hakuna kingine kinachoendelea tena hapa ni kazitu. NA mnukuu DIAMOND aliosema maneno haya. by DJ CHOKA




0 MAONI :
Post a Comment