Tangaza na Abd Da Hustler

ALGERIA INA WASIWASI NA LIBYA

Serikali ya Algeria imetoa taarifa ikieleza wasiwasi wake kuhusu vurugu zinazoendelea nchini Libya zinaweza kusababisha hali ya ukosefu wa usalama nchini humo na kuiomba Libya kuanzisha serikali ya Umoja wa Kitaifa.



Hali ya kuvunjika kwa amani ambapo vitendo vya kigaidi vinaendelea kufanyika Libya hususani maeneo ya Mjiwa Sirte Kaskazini mwa Libya.Wizara ya mambo ya nje ya Algeria imeeleza imani yake juu ya Libya katiaka kushughulikia changamoto ya kiusalama na kulinda umoja wa kitaifa.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment