Tangaza na Abd Da Hustler

Audio: Je waijua siri ya mafanikio ya mwanamuziki wa kizazi kipya Vanessa Mdee




Je waua siri ya mafanikio ya mwanamuziki wa kizazi kipya Vanessa Mdee,ambaye amepata mafanikio baada ya kujizolea tuzo kadhaa za kimataifa?.Yeye ijanasema muziki ni safari,kama alivyozungumzana na Mwandishi wa BBC Leonard Mubali ambapo anaeleza alikotoka na aendako katika safari yake kimuziki
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment