Tangaza na Abd Da Hustler

Serikali imesema imechoka kuwabembeleza watu wanaokaidi maagizo kwa makusudi..


Serikali imesema imechoka kuwabembeleza watu ambao kwa makusudi kabisa wamekuwa wakikaidi maagizo halali yanayotolewa na hivyo imeliagiza jeshi la polisi kutosita kukabiliana na watu hao kwa namna yoyote ile hata kama ni kwa kuwapiga
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment