Taarifa ambazo mtandao huu umezipata
hivi punde jina la Emmanuel Okwi halijaidhinishwa kwenye usajili wa
klabu ya Yanga.Kwa maana hiyo Okwi hataruhusiwa kucheza raundi ya pili
ya Ligi Kuu ya Vodacom mpaka sakata lake la usajili kutoka klabu ya
Etoile du Sahel litakapotafutiwa ufumbuzi. Endelea kufuatilia mtandao
huu kwa taarifa zaidi
0 MAONI :
Post a Comment