Nchi ya Uganda inahifadhi wakimbizi laki tatu unusu ambao ni mzigo mkubwa.Je inakabiliana vipi na? Na Siraj Kalyang
Huku siku ya wakimbizi duniani
ikiadhimishwa hii leo , idadi ya wakimbizi duniani imefikia zaidi ya
million 45, ambapo nchi ya Uganda inahifadhi wakimbizi wapatao laki tatu
unusu.
Je wakimbizi hao walioko Uganda wanatoka mataifa gani? Na wako katika makundi gani?Mwandishi wetu Siraj Kalyango na maelezo zaidi.

0 MAONI :
Post a Comment