Tangaza na Abd Da Hustler

SUGU AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUMTUSI WAZIRI MKUU

Mbunge kutoka Mbeya Mjini “Joseph Mbilinyi” afikishwa mahakamani kwa kosa la kumtusi waziri mkuu Mizengo Pinda. Tindu Ulisu ambaye ni wakili wa Joseph Mbilinyi aliomba serikali kufutilia mbali tuhuma hizo kwa kuwa hazina misingi yoyote.
Siku chache zilizopita Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu aliandika haya kupitia ukurasa wake wa Facebook
“Naskia kuwa watu wanasema kwamba eti nimefuta kauli yangu kuhusu waziri mkuu na amri yake kwa polisi kupiga wananchi?!

Sina sababu ya kufuta wala kuomba radhi, na nasimamia kauli yangu to the end…Kwanza ‘upumbavu’ sio tusi, upumbavu kwa kiingereza ni stupidity-which is lack of knowledge and understanding…
So hata uwe na cheo gani kama ukishindwa kuwa na ‘understanding’ juu ya madhara ya kauli zako kwa taifa then u r ‘stupid’…ambapo kwa kiswahili ndio ‘mpumbavu’…”
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment