Tangaza na Abd Da Hustler

STORY NZURY YA DAVID BECHAM NA ISCO NA USAJILI WAO WA REAL MADRID


Julai 3 mwaka 2003, David Beckham alisaini mkataba wa kuichezea Real Madrid akitokea Manchester United na kuchagua jezi namba 23......................
 
Miaka 10 baadae siku ile ile ya Julai 3, 2013 kijana Isco asaini mkataba wa kuichezea Real Madrid akitokea Malaga na kuchagua jezi namba 23. 


Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment