Tangaza na Abd Da Hustler

Jinsi ya Kumfanya Mwanamume Apagawe na Penzi Lako


LEO nimependa  kuongerea kuhusu  namna ya kudumisha penzi iwapo wewe umeolewa hasa kwa kina mama ambao penzi lao ninaelekea kuyeyuka. Na bila jitihada za hapa na pale penzi lako na mumeo linaweza kunyauka kabisa!!! Na ukumbuke wahenga walisema PENZI ni MAUA kuna kuchanua na kunyauka. Na penzi linaponyauka huwa yanatokea maumivu makali sana ndani ya moyo, maumivu ambayo hayana kifani. Sasa ufanye nini ili penzi lako lisinyauke? Zingatia yafatayo:

i) Hakikisha unakuwa karibu na mumeo
ii) Mumeo akirudi kutoka safarini au kazini mupokee kwwa mabusu na upendo wa hali ya juu
iii) Kama utakuwa na nafasi jitahidi kumuandikia msg mumeo za upendo na kumfariji
iv) Na mwisho kumbuka kuwa munapokuwa katika sita kwa sita jitahidi kutoa sauti ya mahaba huku ukijitahidi sana kumpa penzi kutumia ujanja wako, na kama atamaliza mwambie "POLE MUME WANGU"

.
Kwa leo ninakomea hapo kumbuka kuwa wanaume ni watu wa kujaliwa kila wakati na kubembelezwa Mwanasaikolojia wa mapenzi Dr. Linda wa chuo kikuuu cha Oxford aliwahi kunena ya kwamba hakuna dawa ya mapenzi zaidi ya kuonyesha upendo kwa umupendae.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment