Tangaza na Abd Da Hustler

Agnes Gerald a.k.a Masogange Arudi Bongo …

masogange (1)
Agnes Gerald maarufu kama Masogange amerudi nyumbani Tanzania rasmi, … ikiwa ni wiki chache tu tokea mwanadada huyo kusemekana kuachiwa kwa kosa la usafirishaji wa Dawa za Kulevya nchini South Africa akiwa na mwenzake Melisa Edward …
Melisa Edward aliachiwa na mahakama ya Kempton SA, baada ya kukosekana kwa ushahidi wa kutosha … huku Agnes ambae sasa amerudi nchini Tanzania siku ya jumanne ya tarehe 8/10 aliachiwa nchini humo kwa adhabu ya kulipa faini.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment