Tangaza na Abd Da Hustler

Chris Brown Ametangaza Ujio Wa CD Yake Mpya, Fuatilia Hapa

 Chris Brown yupo tayari kwa ujio wa album yake ya sita kama solo artist itakayoitwa X. Mpaka sasa cd ili imetoa wimbo wa Fine Chine, Don’t Think They Know, ft Aaliyah na Love More ft Nicki Minaj. Breezy ametangaza kwenye Twitter yake kuwa cd hii inatoka November 19. 
 Walio shirikishwa ni pamoja na Rihanna, Kendrick Lamar, Kelly Rowland, Diplo, naTimbaland na Brown amesema anampango wakutengeneza album hii iwena cd mbili kwenye mahojiano na DJ Skee.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment