Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul “Diamond Platinum”(kushoto)pamoja na Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Bw.Mathew Kampambe,(kulia)wakionyeshwa kurasa mbalimbali za Ipad na mshindi wa dansi ya Ngololo Bw.Faudhu Kiobya,aliejishindia mara baada ya kutuma video yake katika ukurasa wa kijamii wa instragram wa Vodacom Tanzania,na kukabidhiwa rasmi na msanii huyo baada ya kumalizika kwa droo ya tatu ya shindano la miito ya simu.Jumla ya washindi 35 kila mmoja wamejishindia Sh 50,000.
“DIAMOND PLATINUMZ”AKABIDHI IPAD KWA MSHINDI WA NGOLOLO
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul “Diamond Platinum”(kushoto)pamoja na Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Bw.Mathew Kampambe,(kulia)wakionyeshwa kurasa mbalimbali za Ipad na mshindi wa dansi ya Ngololo Bw.Faudhu Kiobya,aliejishindia mara baada ya kutuma video yake katika ukurasa wa kijamii wa instragram wa Vodacom Tanzania,na kukabidhiwa rasmi na msanii huyo baada ya kumalizika kwa droo ya tatu ya shindano la miito ya simu.Jumla ya washindi 35 kila mmoja wamejishindia Sh 50,000.
0 MAONI :
Post a Comment