Rapper Kanye West kutoka Marekani amemchumbia rasmi mchumba wake Kim
Kardashian usiku wa tarehe 21, wa wili hao walikua katika mahusiano ya
muda mrefu na wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike North West. Rapper
Huyo alimchumbia mrembo huyo mbele ya Marafiki zao na Familia jijini
San Francisco ambapo ilikua ni siku ya kuzaliwa ya mwana dada huyo
kutimiza miaka 33.
0 MAONI :
Post a Comment