Tangaza na Abd Da Hustler

Picha Ya Rihanna Yaleta Utata Msikitini …

rihanna-abudhabi-22102013
Mwana dada Rihanna hivi karibuni alilazimika kuondoka katika eneo la msikiti pale alipokua akipiga picha kaitka msikiti wa  Sheikh Zayed huko Abu Dhabi, mwana dada huyo alikua huko kwa ajili ya matembezi na kikazi za fashion lakini wakati akiwa eneo hilo la msikiti Rihanna aliombwa kuondoka katika eneo hilo haraka kwa kua eneo hilo la msikiti  hairuhusiwi kwa wageni kufanyia shughuli zao binafsi…
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment