Tangaza na Abd Da Hustler

DR.SLAA:MABOMBA YA GESI TOKA MTWARA YANAELEKEA ULAYA

Nimeshitushwa na maneno ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa alipokua akiwahutubia wananchi wa Iringa kuwa Mabomba ya gesi inayochimbwa Mtwara yanaelekezwa Ulaya badala ya kuelekezwa kwa wananchi wa Mtwara. Ameeleza hayo bila kufafanua ukweli wa jambo hilo.

"Katika taarifa ya habari ITV usiku huu, Dr. Slaa anasema: Tunaambiwa mabomba Mtwara yanaelekea Dar, kumbe yameelekezwa Ulaya, wanachukukua gesi yetu. Hatutakubali!"

Source: ITV HABARI
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment