![](http://1.bp.blogspot.com/-0mPCvepMOh8/UuD4m8_zDAI/AAAAAAAArlE/9nLcU_8hZac/s640/2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-1WGsXhTkYOk/UuD5YzPeH-I/AAAAAAAArlY/xAV3Dfl_Er8/s640/1.jpg)
Jumba hilo lina vyumba 106 na lina ukubwa wa square meter 54,000 lililokaa kwenye eneo lenye ukubwa wa heka 235, na kwa ajili ya burudani tu mule ndani, kuna ukumbi wa sinema, pamoja na bowling. chumba cha kulia chakula cha usiku kinachukua watu 100 au ricky ross mmoja na wageni kumi.mwanzono Hollyfield alipoongea na AJC alisema kuwa manssion hiyo ina private swimming pool kubwa marekani nzima.
kwa ukubwa huo Bawse atatakiwa kuachia $ million 1 kila mwaka kwasababu tu ya matengenezo ya kawaida ya jumba hilo, ukijumlisha na malipo ya jumba hilo, gharama za maisha,malipo ya magari yake na gharama zingine alizonazo kwa nyumba zingine anazomiliki
0 MAONI :
Post a Comment