Tangaza na Abd Da Hustler

HURUMA YAKO












Usishuke chini bila ku comment
amina maana amina yako ina
nguvu kubwa ya kuokoa maisha
ya huyu bint.

Pia SHARE sana ili
ndugu na jamaa waweze
kumsaidia mtoto huyu!
Mtoto Khadija Omari mwenye
umri wa mwaka mmoja na miezi
mitano anaomba msaada wa
upasuaji wa uvimbe mkubwa
alionao kwenye kitovu.

Hivi sasa Khadija ameelazwa wodi
namba 3 ghorofa ya tisa hospitali
ya rufaa bugando jijini Mwanza
kwaajili ya uchunguzi wa kina wa
kitatibu wa kidonda kabla ya
hatua ya upasuaji kufanyika.

Yeyote mwenye mchango wa
kuokoa maisha ya mtoto huyu
mkazi wa nyakato manispaa ya
Musoma anaweza kuwasiliana na
George Marato wa ITV na Redio
One kwa namba namba za simu:
0767 446518, 0787446518 au
0713 446518.
Kila utakachokitoa utalipwa na
kuzidishiwa na mwenyezi mungu.

USISAHAU KU-SHARE WENGINE NAO
WAWEZE KUSAIDIA.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment