Kutokana na harakati zake kubwa alizozifanya msanii huyu katika maisha yake pamoja na kazi zake, Rapper Aubrey “Drake” Graham amejikuta akiwa anatajwa sana katika mitandao ya internet kama blogs na websites za entertainment na sana sana mtandao ya kijamii kama Facebook, Tumblr, Twitter n.k. Lakini rapper huyu kwa mwaka jana peke yake kupitia mtandao wa twitter, inasemekana yeye ndiye rapper aliyetajwa sana kushinda rappers wengine yoyote baada ya kutajwa zaidi ya mara 52,202,000 huku akifuatiwa na Rap God Eminem ambaye alitajwa mara 21,271,953 .
Mwaka 2013, Drake Ndiye Rapper Aliyeongoza Kwa Kutajwa Sana Katika Mtandao Wa Twitter …
Kutokana na harakati zake kubwa alizozifanya msanii huyu katika maisha yake pamoja na kazi zake, Rapper Aubrey “Drake” Graham amejikuta akiwa anatajwa sana katika mitandao ya internet kama blogs na websites za entertainment na sana sana mtandao ya kijamii kama Facebook, Tumblr, Twitter n.k. Lakini rapper huyu kwa mwaka jana peke yake kupitia mtandao wa twitter, inasemekana yeye ndiye rapper aliyetajwa sana kushinda rappers wengine yoyote baada ya kutajwa zaidi ya mara 52,202,000 huku akifuatiwa na Rap God Eminem ambaye alitajwa mara 21,271,953 .
0 MAONI :
Post a Comment