Tangaza na Abd Da Hustler

(New Audio) Kichomi ft D wa Maujanja Saplayaz & Jambo Squad – PANDE ZAO

IMG-20140124-WA0030
Kichomi Dax anayerep kundi la North Dwellers ambao wamekuja kwa kasi na wimbo wao unaoitwa Original hivi karibuni anafungua mwaka kwa anthem hii “Pande zao” akiwa amewashirikisha Jambo Squad walioibuka kuwa kundi bora la mwaka 2013 pamoja na Dotto – D Wa maujanja Saplayaz wanakwambia Pande Zao mpango mzima toka Grandmaster Records chini ya John Blass na Dj Az ambaye kwa sasa yupo India kuendeleza shughuli zake za muziki.



Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment