Familia ya Fast & Furious…
Kupitia mtandao wa TMZ, umesema Wosia aliouandika Paul Walker kabla ya mauti kumfika, umeeleza kwamba mali zote ambazo mkali huyu alikuwa nazo zitabaki kwa binti yake wa miaka 15, aitwaye Meadow.
Paul Walker akiwa na mwanae, Meadow…
Matarajio ya wengi yalikuwa, kungekuwa na mgao mzuri ambao kwa upande mmoja ama mwingine ungemnufaisha mpenzi wake Walker aliyedumu naye kwa muda wa miaka saba, Jasmine Gosnell lakini mambo hayakwenda kama walivyodhani.
Kwa sasa, Meadow anaishi Hawaii na mama yake, Rebecca Soteros japo wosia ulimtaka aishi na mama yake Paul Walker,Cheryl kwani ndiye mwenye haki ya malezi na matunzo yote.
0 MAONI :
Post a Comment