Tangaza na Abd Da Hustler

Angalia sehemu ya kwanza ya Jambo na Vijambo kupitia akaunti ya Swahiliwood Youtube! Komedi hii imetayarishwa na Takura Maurayi tuliyefanya nae kazi ya kutengeneza Siri ya Mtungi msimu wa kwanza na wa pili kwa ukaribu. Video zaidi zitapatikana hivi karibuni!

Jambo Na Vijambo ni kipindi kinachojadili maisha ya wa Tanzania, kijamii, kiuchumi, kisiasa na kitamaduni kupitia njia ya ucheshi, utani na kuambizana ukweli.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment