Tangaza na Abd Da Hustler

Ni kawaida kwa mkazi huyu wa Kisumu kukuta hili jeneza nje ya nyumba yake


Uchawi wa Kisumu 1Mke anasema hii sio mara ya kwanza kwa wao kukuta jeneza dogo likiwa na paka ndani yake ambapo wakati uliopita alichukua hilo jeneza na kwenda kuchoma kisha baada ya siku mbili akakutana na kitu kilekile mlangoni.
Familia ya Elias Oganda huko Seme jimbo la Kisumu nchini kenya inasema huenda kitendo hiki kimetokana na mzozo wa shamba japo hawafahamu aliye katika ugomvi huo.
Elias anataka aliye na tatizo naye kujitokeza kusuluhisha ili kuachana na hii ya huyo asiyejulikana kuleta jeneza lenye miili wa paka mlangoni mwake kila wakati.
Unaambiwa jeneza hili lenye mwili wa paka aliekufa limekuwa likiwekwa nje ya mlango wa Julius hii ikiwa ni mara ya nne sasa.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment