Lionel
Messi jana alifunga mabao matatu kati ya 7 yaliyofungwa na FC Barcelona
dhidi ya Osasuna katika mchezo wa ligi kuu ya Hispania uliochezwa jana.
Mabao hayo matatu yamemfanya Messi kuwa mfungaji bora kabisa wa muda
wote wa FC Barcelona baada ya kufikisha mabao 371 akivunja rekodi ya
Paulinho Alcantara aliyekuwa kafunga 369. Tazama video chini.
0 MAONI :
Post a Comment