Msanii Nasibu Abdul Alias,Diamond Platnums, kwa sasa anawakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa 10:55 leo jioni alikuwa anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia 75.7 ya kura zote akifuatiwa na Mafikizoro wenye kura 8.34. na wengine kama jedwali linavyoonyesha hapo chini.Tuzo hizo zinatolewa juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles,Marekani
KUMPIGIA KURA DIAMOND ,
BOFYA HAPA
kisha telemka hadi utakapo kuta ''BEST INTERNATIONAL ACT:AFRICA bofya tundu lenye jina lake kisha bofya "VOTE".....MTU WANGU WA DAMU
Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
0 MAONI :
Post a Comment