Tangaza na Abd Da Hustler

MAN UNITED WAMWAGA PAUNDI MILIONI 20 KWA TONI KROOS BAADA YA VAN GAAL KUBARIKI, ARJEN ROBBEN AINGIA KWENYE RADA

Manchester-bound: United have agreed a deal with Bayern Munich for midfielder Toni Kroos (centre)
On the radar: United are now set to make a stunning move for Bayern Munich's Arjen Robben
All smiles: Holland head coach Louis Van Gaal smiles as he leads his team's training session in Lagos, Portugal
 Tabasamu tu: Kocha wa Uholanzi, Louis Van Gaal  akitasamu katika mazoezi ya timu yake mjini Lagos nchini Ureno.
 
Robben ni mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Van Gaal wakati akiwa Bayern kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 20 kutokea klabu ya Real Madrid mwaka 2009.
Siku za karibuni winga huyo mwenye miaka 20 alisaini mkataba wa miaka mitatu na Bayern, lakini haimvunji moyo Van Gaal ambaye atafanya kazi na Robben katika fainali za kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil.
Inafahamika kuwa United wamekubaliana dili la paundi milioni 27 ili kuinasa saini ya beki wa kushoto wa Southampton,  Luke Shaw na beki wa kati wa Borussia Dortmund,  Mats Hummels yupo katika mipango ya Van Gaal.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment