Tangaza na Abd Da Hustler

NEWS || Chris Brown, akaribishwa HOME toka JELA na washkaji. Big Sean, Tyga, T-Pain ndani.

bro
Chris Brown sasa ni raia mwenye uhuru na anategemea kurudi kwenye kazi yake ya sanaa vizuri baada ya kukaa jela miezi mitatu. Baada ya hapo wasanii wenzake na watu wengine maarufu walimualika na kumfanyia party, wasanii kama Tyga, Big Sean, T-Pain na Amber Rose ni moja kati ya wasanii waliokuwepo katika “Private BBQ Party” ambayo ilifanyika alhamisi (June 5) mchana. wasanii wengine walipiga picha naye nakuweka mtandaoni na Party nzima ilikuwa organised na ‘Karrueche Tran’ ambaye ndio alimpeleka ‘Breezy’ nakumwonyesha surprise hiyo.
Breezy alikuwa kama kaongezeka uzito hivi na inawezekana ni sababu ya kula chakula chenye lishe au dawa anazo meza kwasababu ya “bipolar disorder” ambazo ameandikiwa kwa ajili ya hali yake.


bree
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment