Kala Jeremiah alipewa kampani na Mo Music na Nay wa Mitego
kuhakikisha ‘Simu ya Mwisho’ inamfikia mrembo aliyemtoa bush na
kumuingiza mjini na baadae akapata wenye visu vikali akamtosa.
Baada ya Audio, kala alimpa kazi Director Pablo akaiweka story yake
kwenye video kwa ajili yako wewe shabiki unaemuwezesha kuwa Kala
Jeremiah.
Enjoy ‘Simu ya Mwisho’.
Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
0 MAONI :
Post a Comment