Tangaza na Abd Da Hustler

Wema na Kajala wamaliza tofauti zao, Jumbe za upendo zatawala Instagram

Waigizaji wa bongo Movies, Wema Sepetu na Kajala wamemaliza tofauti zao zilizodumu kwa wiki kadhaa.
Kwa mujibu wa ripoti, wasanii hao waliurudisha urafiki wao uliokuwa umetiwa doa na ‘pesa’ baada ya kukutana kwenye sherehe ya kibao kata cha mwandishi wa magazeti ya Globalpublishers.
Baada ya sherehe hizo. Wema alipost picha inayomuonesha akiwa na Kajala, Aunt Ezekiel na wengine na kuandika, “Mwapenda sana hawa apa….Jana hiyo kwa kibao kata cha imeldamtema….Ramadhan Qareem everebadi…”
Leo (July1) kwenye akaunti ya Instagram ya @kajalacelebrity2014 ambayo bila shaka ina uhusianona muigizaji huyo, imewekwa picha ya ya zamani ya inayomuonesha Kajala akiwa na Wema Sepetu na Prezzo  na kuandika  ‘Tbt’. Na ikaimention akaunti halisi ya Kajala.
All is Well

Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment