Tangaza na Abd Da Hustler

Chidi Benz ameamua kuyaandika haya kuhusu ishu ya Diamond na Davido, Zitto Kabwe na MwanaFA ni miongoni mwa waliolike.

Kuna habari nyingi zinaandikwa sasa hivi kuhusu uhusiano wa Diamond na mwimbaji Mnigeria Davido ambae weekend iliyopita wakati mshindi wa BBA 2014 alipotangazwa kuwa ni Mtanzania Idris aliandika tweet iliyoanzisha tatizo.

Wengi walimuelewa kama kaidiss Tanzania kwa kumaanisha haikustahili kupata ushindi wa Channel O awards tatu alizoshinda Diamond na vilevile labda haikustahili ushindi wa BBA pia.

Sasa kutokana na kinachoendelea sasa hivi rapper Chiddi Beenz ameamua kuyatoa yake ya moyoni kupitia page yake ya facebook leo kama inavyosomeka hapa chini baada ya Watanzania kuendelea kumtukana Davido kwenye mitandao yake ya kijamii na hata reaction ya Diamond mwenyewe baada ya kushinda tuzo nyingine Nigeria.

Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment