Dawa ya kutibu wanawake wasio na hamu ya kufanya mapenzi imepokelewa na baadhi ya wadauShirika la Dawa na Chakula nchini Marekani limeidhinisha matumizi ya dawa ya kwanza kabisa iliyoundwa mahususi kuwatibu wanawake ambao hawana hamu ya kufanya mapenzi. Lakini dawa hiyo itaambatana na onyo kali la kiafya kuhusu uwezekano wa mwanamke kupata madhara ikiwa ataimeza pamoja na pombe. Mojawapo wa mashirika ya kutetea haki za wateja limeunga mkono hatua hiyo lakini Shirika lingine limesema dawa hiyo ni hatari kwa wanawake.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 MAONI :
Post a Comment