Save hii tarehe ! December 11 2015 zinatolewa Tuzo Tanzania
Naambiwa December 11 2015 ndio itakua siku yenyewe ya Viongozi/Wafanyabiashara mbalimbali kupewa tuzo za kutambua mchango wao kwenye ishu mbalimbali walizozifanya kitofauti katika kuleta mabadiliko kwenye jamii ya Watanzania.
0 MAONI :
Post a Comment