Tangaza na Abd Da Hustler

FAIDA YA TUNDA AINA YA TANGO MWILINI MWAKO.

Tunda aina ya tango hupatikana maeneo mengi  duniani, watu wengi hupuuza kula tunda hili kwasababu ya kutokuwa na sukari yoyote katika tunda hili.

Ukweli utabaki kuwa pale pale kuwa tango husaidia vitu vingi mwilini kwa mfano hupunguza maumivu ya kichwa, viungo vya mwili, hupambana na ugonjwa wa Cancer, husafisha figo, kupunguza uzito, huweka sawa mfumo wa damu, hukupatia afya nzuri ya nywele na mengineyo.

Jitahidi kula matango kwa afya bora, kwani unaweza kukata kata kama kachumbali ukatia chumvi ili kuleta radha ya kula. Mimi binafsi hupenda kula matango ninapoyapatia nafasi, kwani hayana idadi maalumu ya kula, utakula kadri uwezavyo.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment