Tangaza na Abd Da Hustler

SIFA 15 ZINAZOMFANYA MWANAMKE KUMPENDA MWANAUME. Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume. 1. Kujiamini 2. Mcheshi 3. Mwenye utashi 4. Anayetoa msaada unapohitajika 5. Anaetunza siri 6. Mwenye kujithamini 7. Mwenye malengo / makini 8. Mwenye mawazo mapana 9. Muwazi na mkweli 10. Anayeridhika 11. Aliyeshupavu na jasiri 12. Mwenye huruma 13. Anaesamehe 14. Hadhi na heshima 15. Hisia ya uadilifu.

SIFA 15 ZINAZOMFANYA MWANAMKE KUMPENDA MWANAUME.


Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi  gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.

1. Kujiamini

2. Mcheshi

3. Mwenye utashi

4. Anayetoa msaada unapohitajika

5. Anaetunza siri

6. Mwenye kujithamini

7. Mwenye malengo / makini  8. Mwenye mawazo mapana  9. Muwazi na mkweli  
10. Anayeridhika        11. Aliyeshupavu na jasiri
 12. Mwenye huruma 13. Anaesamehe 14. Hadhi na heshima 15. Hisia ya uadilifu.
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment