Tangaza na Abd Da Hustler

Fabregas anataka kujiondoa Barcelona na kwenda Manchester United











Kiungo hodari wa Barcelona Cesc Fabregas ameiwaambia marafiki zake anataka kuondoka Uwanja wa Nou Camp na anataka kwenda Manchester United. Mchezaji huyo wa Hispania amesema navutiwa mara kwa mara na soka katika timu ya Old Trafford na matarajio yangu ni kuungana na Robin van Persie.
Chanzo: Daily Mail
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment