Tangaza na Abd Da Hustler

Video: Dj khaled amtaka Nick Minaj awe mke wake.Auliza kama Nick minaji atakubali kuolewa na yeye akiwa na pete yenye Thamani ya Dola 500,000 za KIMALEKANI

Dj Khalid amtaka Nick Minaj awe mke wake wa maisha. Dj huyo wa Cash Money amepropose kwa labelmate huyo wa YMCMB kwenye Video iliyo lushwa na MTV News.




Get More:
DJ Khaled, Music News

'I love you. I like you. I want you to be mine. amesema Dj Khalid Im be honest with you I wanna marry you

                                                                     Nick Minaj
Unahitaji Mwanaume kama mimi? katika maisha yako ambaye atakutunza na kuku heshimu? alisema Dj Khalid ambaye albam ya Suffering from Succes itaingia September 24.

Dj Khalid ambaye alidai kuwa alitaka kupropose ndoa kwa Nick Minaj tangu mwaka jana wakati waki shot video ya Take it to the head:

Nick Minaj bado haja jibu kama amekubali ombi hilo la Dj Khalid au Lah!!!!....
ENDELEA KUTEMBELEA BROG HII RAFIKI YANGU WA DAMU UTAPATA KITAKACHO ENDELEA NA MENGINE MENGI...



Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment