Tangaza na Abd Da Hustler

Kinega PEEN LAWYER anatarajia kuachia ngoma yake iitwayo HARAKATI-MOVEMENT talehe 31/8/2013 uku akisema bila kuwasahau wenye BONGO FLEVA yao KAMA Ruge,Bob tale,Fella na nk.

Ningependa nyimbo yangu ikitoka niifanye dedication kwa WAHESHIMIWA WANASIASA Bila kuwasahau waheshimiwa wenye BONGO FLEVA yao KAMA Ruge,Bob tale,Fella na nk.......!PIA INAWEZA KUWA NI NAFASI NZURI KWA WALE WALIOKUWA WANANIPIMIA...hii itakuwa ni jibu zuri la kipimo walichokuwa wanapima...!mungu yuko nami,,na ameniongoza kwenye uandishi wa hii nyimbo pia..!kwenye true huongo kamwe huwa haukai,hizi ni mbivu mbichi hizo hata hazikufai.....
]]]]]]>>31 AUG 2013<<<<[[[[[[[[[[[

 
akiwa na team ANACONDA
 
Ilin ndilo kasha la song yake mpya atakayo toa hivi karibuni
 
 akiwa na RAMA D,DANI MSIMAMO NA ADILI
AKIWA NA VINEGA TEAM
Share on Google Plus

About Unknown

Naitwa Abdalla Ngowi, Napenda Michezo na kukupa habari mbalimbali kutoka katika kila kona ya ulimwengu huu!, karibu ABD da Hustler
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 MAONI :

Post a Comment