Kwa wale ma Fans wang wa damu mzigo huu wa T-shirts unapatikana Mabibo hostel mkabala na geti wanalo ingilia wanafunzi .unaulizia kwa RAMA TISHI wapi? basi unapelekwa bei zetu ni nafuu na tunauza vitu mbali mbali .walet za kike na zakiume.nguo za jinsia zote.jeans kali ma t-shirts makali.mashati yenye hadhi nzuri.suluali za kitambaa na NK.


0 MAONI :
Post a Comment